Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 14,766
- 42,929
Wazo liko hivi;
Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa majina mapya au tukaziita majina kulingana na location zake.
Tanzania kama shirikisho itakuwa na majukumu machache tu sawasawa na makubaliano.
Hii itachochea maendeleo.
Tuwe tu wakweli ngozi nyeusi IQ zetu hazitoshi kuendesha nchi kubwa kama hii ya Tanzania.
Tukiigawa tutaendelea haraka.
Kanda itakayokuwa nyuma itapigwa kampani ni shirikisho ambalo litakuwa linapokea sehemu kidogo ya kodi kutoka katika shughuli za kiuchumi kwenye Kanda (nchi) zote za shirikisho.