Waziri wa viwanda kusoma bugdet ya wizara ya Nishati na madini!

gubwe

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
299
132
Wadau, naomba mwenye uelewa anifafanulie baada ya mh.Rais kutengua uteuzi wa aliyekua waziri wa nishati na madini Prof. Muhongo, nimeona budget ya wizara ya nishati na madini inasomwa na waziri wa viwanda biashara na uwekezaji!

Mh. Charles mwijage na alikua akijibu maswali yote yahusiahayo budget ya wizara hiyoo, ilhali naibu waziri na nishati na madini yupo!! Je naibu waziri hana mamlaka ya kusoma budget ya wizara incase waziri hayupo?? anayefaham naomba anifafanulie!!
 
Na ndio maana katika kujibu ni lazima aseme kwa niaba ya waziri ambaye ndiye mwenye dhamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…