Waziri wa utamaduni sanaa na mchezo, Dr Harrison mwakyembe kuwakutanisha Diamond na Alikiba

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,892
Waziri wa sanaa anatarajiwa kuwakutanisha kiba na diamond mjini dodoma ili kuweza kuwapatanisha na kuondoa tofauti zao, wakali hao wameteuliwa kwenye kamati ya team ya taifa serengeti boys

Je atafanikiwa kuwapatanisha ndo swali lililopo maana mpk sasa mmoja bado anaonyesha bado beef analipenda..!!!
 
asitafute umaarufu kupitia migongo ya watu, wenyew wafanye nyimbo ya kuhamasisha basi. Maana hapo akisema kuwapatanisha kila mtu atapita kushoto.
 
!
!
ilani ya chama ilikuwa na mambo mengi kweli.
 
Huyu Mwakyembe naye anatafuta KIKI ya kujaza front page....

Yaani hakuna mengine ya muhimu ya Kufanya mpaka ukawapatanishe hawa watu...?

Diamond alishasema Clouds 360 kuwa hana bifu lolote na AK....
 
asitafute umaarufu kupitia migongo ya watu, wenyew wafanye nyimbo ya kuhamasisha basi. Maana hapo akisema kuwapatanisha kila mtu atapita kushoto.
Kuna mmoja apo ndo atapita kushoto na anajulikana
 
Sasa hapo utatumika ujanja wa Kariakoo au itatumika PhD ya sheria kutimiza hii azma!! Tz bwana.
 
Huyu Mwakyembe naye anatafuta KIKI ya kujaza front page....

Yaani hakuna mengine ya muhimu ya Kufanya mpaka ukawapatanishe hawa watu...?

Diamond alishasema Clouds 360 kuwa hana bifu lolote na AK....
Upumbavu utawaisha lini!!
mnapenda ugomvi kuliko upatanishi!!
wacheni ujinga nyie
 
Mxiewwwww! Kuchefukwa kila siku ilo ndio kaliona la maana akamwambie malaika mkuu la bashite
 
Hivi hata akiambiwa ataje nyimbo zao japo mbili tu kwa kila mmoja wapo anazijua?
 
Wow. Thank you for sharing this. I hope you and daughter are well.
 
HIvi, kwani ile Wizara yake inaitwaje vile?. usanii, sanaa na ...................... Inwezekana na yeye keshakuwa msanii pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…