Waziri wa Nishati Toa kibanzi kabla ya kuona Boriti

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,903
1,360
Mr. Naibu waziri mkuu na Waziri wa nishati, safisha shirika lako la tanesco. Hamna mtaalamu wa IT? Ebu tafuta deni la kodi ya Jengo uone majibu yake kwenye website ya shirika:
 
Taasisi za serikali ziko kizembe sana,,Hii Tanesco ingekuwa ni kampuni ya watu, unakuta taarifa ziko wazi sana
 
Back
Top Bottom