Hao Jamaa ni WahuniAwo jamaa ni wahuni
Una hoja lakini hayo maneno ya ki malkia hapo hueleweki ulitaka kusema nini.Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe.
Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini.
Hao jamaa ni wahuni