Tukiwa taifa mwenyeji wa mashindano yajayo ya AFCON nilitegemea maandalizi makubwa sana katika mashindano haya ya Olimpic niliona kwenye vyombo vya habari kwamba Waziri wetu wa michezo aliambatana na washiriki saba kutoka Tanzania kwenda huko ufaransa.
Mpaka sasa hali sio nzuri, matokeo ni mabovu, tumeanguka. Ushiriki ni mdogo na hauna uwiano na ukubwa wa nchi, maandalizi ni hafifu na ubunifu hamna.
Kwa heshma na taadhima Waziri wetu tunakuomba ujiuzulu, na uwajibike kwa hili.
Michezo ni biashara na wala sio siasa.
Ubaya ubwela.
Soma pia: Ndumbaro anapata wapi ujasiri wa kusafiri na timu ya watu 7 tu Olympic Ufaransa timu anayojua itakayorudi bila medali!?