Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,556
- 3,741
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe leo Machi 27, 2018amekutana na msanii wa muziki Nassibu Abdul(Diamond Platnumz) kwa lengo la kurejesha maelewano kwenye tasnia ya Sanaa ya Muziki nchini kufuatia hatua zilizochukuliwa na Wizara kuzuia baadhi ya kazi za Sanaa zinazoonekana kukiuka maadili ya nchi
Katika kikao hicho kilichofanyika kwenye ofisi za Wizara jijini, Dar es Salaam na kuchukua Zaidi ya saa 3, Waziri Mwakyembe alifuatana na Naibu Waziri Mhe. Juliana Shonza, Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mwingereza na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fisoo na Mwanamuziki Diamond alifuatana na meneja zake watatu Sallam Sharaff, Hamis Taletale na Said Fella