Waziri wa Fedha Awashukuru Wananchi Kumsikiliza

Bukanga

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
2,857
1,936
Hizi hotuba za mawaziri wa Serikali ya Magufuli bado zinawashukuru wananchi kwa kuwasikiliza akiwa kajificha ndani ya jengo lenye sound proof, tunaomba waheshimiwa muondoe hicho kibwagizo kwani huku siye hatujuwi kinachoendelea.
 
Hizi hotuba za mawaziri wa Serikali ya Magufuli bado zinawashukuru wananchi kwa kuwasikiliza akiwa kajificha ndani ya jengo lenye sound proof, tunaomba waheshimiwa muondoe hicho kibwagizo kwani huku siye hatujuwi kinachoendelea.

Wanaokuwepo bungeni sio wabunge tu wanakuweko na watu wengine ambao si wabunge kama waandishi wa habari,wageni mbalimbali,maofisa mbalimbali wa serikali nk hao ndio wanaangukia kwenye kundi la Wananchi.Akisema anashukuru wabunge na wananchi wote kunsikiliza yuko sahihi.
 
Huna habari kuwa waandishi wa habari nao hawaruhusiwi kuingia mjengoni?
 
Hilo ndio tatizo la kukopi na kupasti, tumemsiliza kwa kupitia chombo kipi cha habari?
 
Mnajitoa akili vibaya nyie watoto sijui hii nchi inaachiwa kizazi gani.
Kuna mahali wewe mwenyewe umesema bungeni si mahali pa press conference so waandishi wa habari hawatakiwi, sasa hapa unaandika nini?

..................
sorry Bukanga wrong quote
 
Mkuu wanaweza sema 'Asanteni Waalikwa kwa kunisikiliza' sio wananchi wote. Wote na akina nani? Ingekuwa inarushwa live ni haki kusema 'wananchi wote'
 
Hao unaosema mkuu huwa wanajulikana kama wageni, na ndo maana huwa wanatambulishwa na huwa inaelezwa sababu ya wao kuwepo ndani ya bunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…