Rais wetu mpendwa na AMIRI jeshi mkuu alitutangazia kuwa ifikapo December watumishi wote ambao uhakiki wa madeni yao ulishakamilika wawe wamelipwa.
Umebaki mwezi mmoja.
Ingekuwa vema iwapo waziri husika angetoa hata progress ya utekelezaji wa agizo la Rais ili wale akina Thomaso wapate matumaini.
Maana wadai wengi hivi sasa wanatamani kuwa wachezaji wa football ili kumvutia mama kusema jambo.