Waziri Simbachawene: Familia nyingi zinakufa kwasababu wenza kukaa mbali, Wakuu wa Taasisi za UMMA kushughulikia vibali vya uhamisho kwa busara

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,315
6,344
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Boniface Simbachawene akizungumza na Wakuu wa Taasisi za UMMA kushughulikia vibali vya uhamisho ili kuokoa familia nyingi za Watumishi.

 
Hivi uhamisho kama mtu umepata wa kubadilishana naye kwann iwe kikwazo?
 
Hiki ni moja wapo ya kipengele sugu sana kwa watumishi hasa walio ndani ya ndoa( ndoa hazidumu, kubambikiwa watoto ndo usiseme)
 
Hoja yake ya kwamba ndoa ya miaka 20 ndo yenye uhitaji wa uhamisho ni ya dhaifu mno. Yeye hajui kwamba ndoa changa ndo zenye hatari kubwa ya kuvunjika kwa watumishi kukaa mbali?
 
Ivi ukiwa Ofisi ya Rais, sera bunge na uratibu unakuwa huna what next isipokuwa kuonesha uozo ulioko ktk Taratibu, sera na Utumishi?

Kwa mtazamo nadhani Kila anapoanika madudu anapandisha Nyongo kwa waTZ waliojikatia tamaa.
Ilitakiwa tumsikie akisema kilikuwa na uozo huu na umefutwa kwa namna hii. Ndio mana mmeona jambo Fulani.

Kumsaidia mnyonge sio kumulika uozo inaongeza Uchungu na kukatisha tamaa. Wake up.
 
Back
Top Bottom