Hizi kauli hamzichoki???Ajiandae kutimuliwa.
Wakati wa ufunguzi wa mabweni mapya ya UDSM wakati wa hotuba yake hakutambua uwepo wa RC Makonda, badala yake aliwatambua wengine na wakuu wa wilaya tu. Hii ilikuwa bahati mbaya au kuna jaambo?
Ajiandae kutimuliwa.
Anajua rc hana vyeti na hakutaka kudharirisha taasisi ya elimuWakati wa ufunguzi wa mabweni mapya ya UDSM wakati wa hotuba yake hakutambua uwepo wa RC Makonda, badala yake aliwatambua wengine na wakuu wa wilaya tu. Hii ilikuwa bahati mbaya au kuna jaambo?