Waziri Nape Nnauye unaishi wapi wewe?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,527
865
Msichague viongozi wanaoishi Dar - Nape


WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amewataka wadau wa michezo nchini kutowachagua viongozi wa vyama mbalimbali wanaoishi Dar es Salaam na si mkoa ambao anauongoza.
 
Kichwa cha habari Na kilichomo ndani, nimeshindwa kuelewa kusudi lako.
 
Kalewa madaraka huyu afu hana busara kabisaa mara nyingi maneno yake hayaishi alionalo kusema mbele yako ndo hilo bure kabisa
 
leo hii yeye ni waziri anaishi wapi mbona hatumuoni akitolea maamuzi yake ya uwaziri akiwa jimboni mwake mtama?
 
Hii ndio dhana ya kukariri, alikuwa anajua yeye bado ni msemaji wa chama cha mapinduzi, Maskini weee wana mtama kweli wameumia, Nape anajua yupo OFISINI LUMUMBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…