Waziri Nape Nnauye hajui maana ya TFF

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,490
96,054
Nape ameshindwa kutaja kirefu cha TFF na kuita kuwa ni TANZANIA FOOTBALL ASSOCIATION na kusababisha muuliza swali na bunge zima kulipuka kwa kumzomea, hii ni aibu kwa waziri kushindwa kujua idara anazozisimamia na ndio sasa tunaanza kuona matunda ya Nape.
 
Sio ajabu kutojua hilo yeye hakuwahi kuwa waziri wa michezo ana mambo mengi mengine ya chama chake familia yake hivo ni kawaida sana
 
Mambo ni mengi xo anachnganyikiwa akpgwa swali zito lenye uzito sawa na mawazo aliyonayo.
 


Ulimi hauna mfupa ina maana nyie hamjawahi kukosea kutamka matamshi..POOR BRAIN ZERO NYUMBU WA UFIPA MMETOROKA MALISHONI.
 
Mhhhh!!! KAZI Ya Nape Ni Kupambana Na Magazeti /Redio Na Tv Stations, Ambazo Zitaenda Tofauti Na CCM Na SERIKALI Yake!! MAMBO Mengine Sorry!!!!!
 
Nepi kawekwa pale kama karagosi ukweli nape2hafai kuwa hata house boy labda mchunga ng'ombe
 
Tuliposema Nape abaki kwenye chama tu ,kuna watu hawakutuelewa kabisa ,nappe hakustahili kuwa waziri wa wizara yyte hata unaibu tu hakufaa huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…