Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,356
- 13,376
Habari ya zuio ama masharti ya matumizi ya VPN kutoka kwa Waziri Nape na wizara yake kwa ujumla inasikitisha hasa inapotokea Waziri anakosa statements zenye substance na credibility, si vema watu wenye dhamana kama ya ndugu Nape kutoa statements zenye mzaha mzaha, Tanzania sio kisiwa vinywa vyetu havina tinted kama ilivyo masikio.
Nape jitahidi jipe homework on thinking what to say before the public.
Honorable ni hadhi kubwa inahitaji kwenda sambamba na adabu ya ufikiri, ubora na mantiki ya matamko iwe ya maandishi au maneno ya mdomoni.
Tanzania ya leo hatuwezi kuifanya kama juzi, Waziri ni wajibu kuwa mwenyewe ulimi wenye unyenyekevu, kuogopa uongo, msikivu na mwenye kujifunza zaidi.
Sawa yawezekana mlipambana vya kutosha kwa jasho na damu na hatimaye Mungu aliamua matokeo mazuri upande wenu.
Kama ilivyo shibe mwana malevya basi njaa ni mwana malegeza, it's a reciprocal rule of thumb.
Being humble and composed also pays. Nape try hard to reshuffle your public image.
Niishie hapa tukutane kwenye comments.
Wadiz