Waziri Nape aishukuru mchango wa JamiiForums kwa kuendelea kuhabarisha umma

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
1,018
3,074
Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024.

"Napenda kuvishukuru vyombo vya habari vyote pamoja na jumuiya zao ikemo MOAT, TAMWA, MCT, UTPC, MISA-TAN, TADIO, TMF, TEF, JOWUTA, JUMIKITA, na JamiiForums kwa kuendelea kuhabarisha umma" - Waziri Nape Nnauye

====

Pia soma:
Waziri wa Habari, Nape Moses Nnauye anawasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi 2024/2025, Mei 16, 2024
 
"Napenda kuvishukuru vyombo vya habari vyote pamoja na jumuiya zao ikemo MOAT, TAMWA, MCT, UTPC, MISA-TAN, TADIO, TMF, TEF, JOUTA, JUMUKITA, na JamiiForums kwa kuendelea kuhabarisha umma" - Waziri Nape Nnauye
Mamba!
 
Huku kuna watu kama 1000 hv kwa uchache wenye uwezo mara dufu yake na wala sio mawaziri...anapaswa kujifunza sana hapa kama hatakaza fuvu lake!.
 
Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024.

"Napenda kuvishukuru vyombo vya habari vyote pamoja na jumuiya zao ikemo MOAT, TAMWA, MCT, UTPC, MISA-TAN, TADIO, TMF, TEF, JOWUTA, JUMIKITA, na JamiiForums kwa kuendelea kuhabarisha umma" - Waziri Nape Nnauye

====

Pia soma:
Waziri wa Habari, Nape Moses Nnauye anawasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi 2024/2025, Mei 16, 2024
 
Attachments

  • IMG-20240519-WA0064.jpg
    IMG-20240519-WA0064.jpg
    111.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom