Sitachoka JF-Expert Member Nov 17, 2011 3,030 1,306 Mar 8, 2016 #1 Simfagirii lakini ngoja tumpe tu sifa zake hapa chini ni video akimbana mtendaji wa NDC waziwazi
mng'ato JF-Expert Member Oct 27, 2014 29,200 49,066 Mar 8, 2016 #3 Usisahau na ile video ya khs vipimo vya mafuta pale Bandarini siku yenyewe
Sitachoka JF-Expert Member Nov 17, 2011 3,030 1,306 Mar 8, 2016 Thread starter #4 mng'ato said: Usisahau na ile video ya khs vipimo vya mafuta pale Bandarini siku yenyewe Click to expand... Haya mzee usijali
mng'ato said: Usisahau na ile video ya khs vipimo vya mafuta pale Bandarini siku yenyewe Click to expand... Haya mzee usijali
Borat69 JF-Expert Member Jun 17, 2012 2,522 1,757 Mar 8, 2016 #5 Gambas said: Simfagirii lakini ngoja tumpe tu sifa zake hapa chini ni video akimbana mtendaji wa NDC waziwazi Click to expand... Hiyo ni bila kupindisha maneno...haihitaji Uwe na tai ya yellow wala ya blue. Asante kwa taarifa mkuu.
Gambas said: Simfagirii lakini ngoja tumpe tu sifa zake hapa chini ni video akimbana mtendaji wa NDC waziwazi Click to expand... Hiyo ni bila kupindisha maneno...haihitaji Uwe na tai ya yellow wala ya blue. Asante kwa taarifa mkuu.
Mr Hero JF-Expert Member Jun 11, 2015 5,540 7,452 Mar 8, 2016 #6 Nikisema kuwa alikuwa anafanya maigizo kwa sababu alijua anarekodiwa ntakuwa nasema urongo!?
Borat69 JF-Expert Member Jun 17, 2012 2,522 1,757 Mar 8, 2016 #7 Mr Hero said: Nikisema kuwa alikuwa anafanya maigizo kwa sababu alijua anarekodiwa ntakuwa nasema urongo!? Click to expand... Kama wewe unayefanya maigizo hapa kwa kuwa unajua Upupu wako utasomwa sio!!!?
Mr Hero said: Nikisema kuwa alikuwa anafanya maigizo kwa sababu alijua anarekodiwa ntakuwa nasema urongo!? Click to expand... Kama wewe unayefanya maigizo hapa kwa kuwa unajua Upupu wako utasomwa sio!!!?
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Mar 8, 2016 #9 NDC haipo chini ya Wizara ya madini bali wizara ya viwanda, hivyo jamaa anafokewa na foreigner sio bosi wake. Yale yale ya kumharibia Mama chuwa wa wakala wa vipimo
NDC haipo chini ya Wizara ya madini bali wizara ya viwanda, hivyo jamaa anafokewa na foreigner sio bosi wake. Yale yale ya kumharibia Mama chuwa wa wakala wa vipimo