peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,940
Ninatuma Uzi huu, kuijulisha serikali ya Tanzania kuwa Hali za wananchi ni mbaya kiafya huko Moshi mjini na Kilimanjaro Kwa ujumla.
Wanaozaliwa ni wachache kuliko wanaofariki Kwa siku moja.
Hali ya ugonjwa wa corona ni mbaya sana na kuna Haja ya serikali kuzuia misongamano, mazishi ya watu wengi. Mkuu wa mkoa amepiga kimya, watu wanaokufa ni wengi Hadi watumishi wa umma wanakaribia kufukuzwa kazi kwa kuomba ruhusa za Kila siku kwenda kuzika ndugu zao.