Pre GE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa: Serikali imetoa ruzuku ya TSh 13.17 bilioni kwa Vyama vya Siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,498
7,056
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kuwa Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi Bilioni 13.17 kwa vyama vya siasa vyenye sifa ya kupata ruzuku hadi kufikia Machi 2025.

Hatua hii imeendelea kusaidia kuimarisha na kuendeleza uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini. Aidha, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kupitia Baraza la Vyama vya Siasa imetoa mafunzo kwa viongozi na watendaji wa vyama vya siasa, lengo likiwa ni kukuza uelewa juu ya uendeshaji wa shughuli hizo.

 
Back
Top Bottom