Anataka awe wa kwanza kuleta madaAtaongoza? Au atakuwa mgeni rasmi?
keshatoa moja tayari la Shisha kuwa marufuku.
Waziri mkuu bwana Kasim Majaliwa anatarajiwa kuongoza swala maalumu ya Idd itakayofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja.
Kwa ninavyomjua huyu mheshimiwa na yeye ni mzee wa matamko. Maana katika lile suala la sukari alishatoa matamko tofauti zaidi ya Mawili.
Sasa sijui ujumbe wa Idd utakuja na tamko gani..stay tunned