Salaam, Shalom!!
Tuliiona Kasi ya Kassim Majaliwa kiutendaji chini ya Hayati Magufuli, lakini baada ya kufariki Kwa Magu na Kuingia kiongozi mwingine, alijaribu kuendeleza Kasi hiyo lakini ghafula akaanza kuwa mpole, Amepitia misukosuko kadhaa akishutumiwa Kwa tuhuma zisizo na UKWELI wowote.
Tumewahi kusikia Bungeni Mpina akilalamika kuwa maagizo yake yanapuuzwa, Kupuuzwa Kwa maagizo ya Waziri mkuu kunamvunja moyo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni mzalendo na Mchapakazi, hahitaji kuwekewa WASAIDIZI aina ya Biteko au makaripio ya kijana wa chama Ili kutimiza WAJIBU wake anaoujua vyema, Ana uwezo wa kuchukua hatua vizuri sana, na alifanikiwa sana Awamu ya Tano.
Waziri Majaliwa ni mzalendo na Mchapakazi aungwe mkono Ili amalizie miaka yake ya utumishi na APUMZIKE 2025 Kwa Heshima.
ANGALIZO: Ushauri niliotoa ni wangu binafsi, sijatumwa na yeyote, nimetumwa na NAFSI yangu Kwa Upendo wa Kweli juu ya viongozi wazalendo wa Nchi yangu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Amen.
Karibuni🙏
Cc Suzy Elias