Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 20,665
- 38,154
Atoa agizo kwa Mkurugenzi wa Hospital Dr Muhidin kusimamisha wafanya kazi waliohusika na mkasa huo wa kusikitisha.
Kwani wanaozidiwa Muhimbili mbona wanaenda India?Mleta mada kwani Zanzibar taifa?
Kwani Zanzibar ni taifa? Mbona wazanzibari wengi wakizidiwa huwa wanakimbiziwa hospital ya taifa Muhimbili kutoka hospital ya mnazi mmoja Zanzibar
Iliisha lini?Hii hali bongo iliisha kipindi cha Dkt Magufuli kabisa ila sasa wanakufa kama kawaida na hakuna wakuwasemea tena ni balaa