Waziri Kombo afanya mazungumzo na Rais wa Somalia

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
1,100
730
WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SOMALIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mheshimiwa Dkt. Hassan Sheikh Mohamud kufuatia mwaliko wa Rais huyo yaliyofanyika katika Ikulu ya Nchi hiyo jijini Mogandishu.

Viongozi hao wameelezea kuhusu dhamira yao ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na uchumi kati ya mataifa hayo mawili.

Waziri Kombo yupo nchini Somalia kwa ziara ya kikazi ambapo aliongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla ya kutia saini hati ya Makubaliano ya Ushirikiano na Jamhuri ya Shirikisho ya Somalia katika sekta ya Afya, Ulinzi, Utalii na Ushirikiano wa Jumla

mini_magick20241219-39713-l6vbdk.jpg
mini_magick20241219-39713-s7ek9c.jpg
mini_magick20241219-39713-1irk90.jpg
mini_magick20241219-39713-v3a5c4.jpg
 

Attachments

  • mini_magick20241219-39713-6jip51.jpg
    mini_magick20241219-39713-6jip51.jpg
    97.3 KB · Views: 2
  • mini_magick20241219-39713-ct6p5.jpg
    mini_magick20241219-39713-ct6p5.jpg
    87.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom