Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tehama mh Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi ya Wizara yake mpya
Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi na Maafisa Waandamizi wa Wizara
=========
MAKABIDHIANO YA OFISI KWA JERRY SILAA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) alipowasili katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa Ikulu tarehe 26 Julai, 2024.
Your browser is not able to display this video.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) akiwa katika picha mbalimbali pamoja na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb), Katibu Mkuu wa Wizara, Bw. Mohammed Khamis Abdulla, Naibu Katibu Mkuu.
Katibu Mkuu waWizara, Bw. Mohammed Khamis Abdulla akikabidhi Ofisi na vitendea kazi kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) mara baada ya kuwasili katika Ofisi ndogo za Wizara zilizopo Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2024.
Waziri atakua ana jambo,na anaona amesakamwa sana,yaani hata kile kijembe cha Makamu kua wasidhani hawana mbadala,kitakua kimemuudhi sana.Pole sana Nape
Kutenguliwa huku kumemuuma zaidi kuliko alivyotenguliwa na Magu. Kwa vile wakati wa Magu alijua kuwa hali ni 50/50, ila safari hii alijua kuwa maisha hayo ni mpaka 2030.