mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,243
- 4,656
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amewapiga marufuku watendaji wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wenye tabia ya kuuza siri za wateja na kuwasababishia matatizo.
Amesema kuwa haiwezekani mtumishi wa BRELA akachukua data na siri za kampuni akaenda kuuza kwa watu na kumtengenezea ajali DG wa BRELA kwasababu yeye ndiye amepewa mandate ya kusimamia taasisi.
Amewataka watumishi kutumia maadili ya kazi na suala ya uaminifu kuwa la msingi zaidi.
Dkt.Jafo ameyasema hayo wakati anaongea na wakurugenzi wa bodi ya Brela leo jijini dar es salaam na kuwatka kuwa na maadili mema.