hata logic ya kawaida tu inakushinda, jeshi la tanzania lilianzishwa kwa 100% na wakoloni kilichofanyika ni kubadilisha jina tu ktk kdf kwenda jwtz lkn kila kitu kilibakia na kimebakia jinsi kilivyo sasa mtoto aende kupindua british armed forces iliyo command english empire yote ? mnadanganywa sana, kwanza jeshi lenyewe kila kitu msaada ktk kwa hao hao halafu eti wakawapindue?