Yote tisa huyu bwana ni kama Simba mwenda pole sana au kama wanavyosema "Avumaye baharini papa, kumbe wengine wapo". Yuko kama dizaini ya Mkapa hivi.. ila ukiangalia hili kundi la watu karibu arobaini watakaokatwa kwanza itabidi warudi kujifikiria. Ukisalimika panga la pili (tano bora) basi wewe si utani na ukienda kwenye watatu bora basi lazima huko ndani uwe ni tishio fulani.
Aisee!!! Too wrong to compare this guy with Ben, ben alikuwa hajulikani kabisa. Huyu anajulikana kila pande na hata stlye yake ya uongozi inajulikana pia.
Style Gani ? Ya kupenda Visasi ? au ya Unafiki ? Au ile ya Ufisadi wa Pesa za wageni na ununuzi nyumba za Balozi nje ya Nchi ? Ni style gani hiyo ? au ni Ule Wizi wa Mabilioni ya Marehemu Gadafi Kisha Balozi akafariki kifo cha Utata ili kuficha Ushahidi ?
Amna kitu umeongea. ..membe hafai na ni weak leaderYote tisa huyu bwana ni kama Simba mwenda pole sana au kama wanavyosema "Avumaye baharini papa, kumbe wengine wapo". Yuko kama dizaini ya Mkapa hivi.. ila ukiangalia hili kundi la watu karibu arobaini watakaokatwa kwanza itabidi warudi kujifikiria. Ukisalimika panga la pili (tano bora) basi wewe si utani na ukienda kwenye watatu bora basi lazima huko ndani uwe ni tishio fulani.
Amewalipa Sh ngapi? Maana tunasikia mwenzake,Lowassa analipa elfu 10 bodaboda na lita 3 kwa masaa 2?