Waziri Bashungwa awasili Manyara kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi barabara

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
760
933
BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA.

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Dareda - Dongobesh (km 60), Sehemu ya Dareda Centre hadi Dareda Mission (km 7) kwa kiwango cha lami.

Bashungwa amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge Babati Vijijini, Daniel Sillo, leo tarehe 06 Aprili 2024.

IMG-20240406-WA0108(1).jpg
IMG-20240406-WA0112(1).jpg
IMG-20240406-WA0111(1).jpg
IMG-20240406-WA0107(1).jpg
 
BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA.

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Dareda - Dongobesh (km 60), Sehemu ya Dareda Centre hadi Dareda Mission (km 7) kwa kiwango cha lami.

Bashungwa amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge Babati Vijijini, Daniel Sillo, leo tarehe 06 Aprili 2024.
Kwani Mkuu wa Mkoa huo hawezi kushuhudia tukio hilo la utiaji saini mkataba mpaka aende huyo Waziri???? Gharama zote za safari ya huyo Waziri ni za nini hasa kama lengo la Safari yenyewe ni kushuhudia utiaji saini kwa mkataba?????
 
Back
Top Bottom