Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,190
- 2,893
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameweza kuonyesha upande wake wa burudani kwa kucheza na kuimba wimbo wa msanii Zuchu wakati wa Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji yaliyofanyika leo, Novemba 13, 2024, katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam ambapo alikuwa mgeni rasmi.