comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Same kuchele 2020Waziri wa nchi ofisi ya Rais utumishi na utawala bora Mh Angellah j.Kairuki ameanzisha mashindano yatayojulikana kama Angellah Kairuki Cup yanayotegemewa kuanzia tarehe 7.1.2017 katika wilaya ya Same, akibidhi vifaa hivyo jezi na mipira kadhaa waziri kairuki amesema wanamichezo wadumishe nidhamu katika kuendeleza michezo nchini
Chanzo: ITV Sauda Shimbo Kilimanjaro
SomaliaKwani huyu mama kwao ni wapi? Anatokea same kwani.
Mama unazidi kunipoteza,Somalia
Kaenda Same kwa kiherehere chake
NB:Zoezi la uhakiki wa watumishi hewa bado linaendelea
AsanteMama ni mpare kairuki la mumewe.
Huyu Mama ni Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Umoja wa Vyama vya Wafanyakazi(Yaani anawakilisha wanawake wafanyakazi Bungeni)Lkn ndio huyohuyo kapewa Wizara ya Wafanyakazi anaooaswa kuwatetea huko Bungeni.Maajabu haya!!!Kwan huyu mama ni mbunge wa jimbo gan?