Waziri aliyepata ajali mbaya Aibukia Mbeya akiwa mpya kabisa.

KAteme

JF-Expert Member
Jul 16, 2022
459
880
Yule naibu Waziri,Dugange anayesemekana alipata ajali mbaya sana yenye utata mwingi,leo asubuhi ameibukia kwenye viwanja vya nane nane, Mbeya akionekana mwenye bashasha na afya tele, Akiongozana na Television ya Taifa ameonekana akitoa nasaha zenye busara nyingi ambazo zimekuwa covered vyema na TBC.... Hongera sana kwake,ameweza na Kazi inaendelea...
 
Nusra alishaondoka,mzee kabaki anakula maisha.Ila nafsi inamchoma,kama ni kweli alikua naye.
 
Mataj
Yule naibu Waziri,Dugange anayesemekana alipata ajali mbaya sana yenye utata mwingi,leo asubuhi ameibukia kwenye viwanja vya nane nane, Mbeya akionekana mwenye bashasha na afya tele, Akiongozana na Television ya Taifa ameonekana akitoa nasaha zenye busara nyingi ambazo zimekuwa covered vyema na TBC.... Hongera sana kwake,ameweza na Kazi inaendelea...
Matajiri wa makambako ......kafara pia wanazo sana ....Mungu muweza sana wa yote
 
Yule naibu Waziri,Dugange anayesemekana alipata ajali mbaya sana yenye utata mwingi,leo asubuhi ameibukia kwenye viwanja vya nane nane, Mbeya akionekana mwenye bashasha na afya tele, Akiongozana na Television ya Taifa ameonekana akitoa nasaha zenye busara nyingi ambazo zimekuwa covered vyema na TBC.... Hongera sana kwake,ameweza na Kazi inaendelea...
Mkuu denooJ unakumbuka hili suala pia? Lili trend sana JF lakini Leo hii nani analikumbuka?

Soon utakubali waTanzania tuna tatizo la mihemko na hisia kuliko uhalisia?
 
Yule naibu Waziri,Dugange anayesemekana alipata ajali mbaya sana yenye utata mwingi,leo asubuhi ameibukia kwenye viwanja vya nane nane, Mbeya akionekana mwenye bashasha na afya tele, Akiongozana na Television ya Taifa ameonekana akitoa nasaha zenye busara nyingi ambazo zimekuwa covered vyema na TBC.... Hongera sana kwake,ameweza na Kazi inaendelea...
wamshauri mke wake asiwe anamkimbiza vile bwanake akiwa na michepuko, angemuua bure.
 
Back
Top Bottom