Waziri Abdallah Ulega: Wavuvi jiepusheni na matumizi ya zana haramu kama vile nyavu za nailoni na makokolo kwani ni hatari kwa uvuvi

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,333
4,699
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewataka Wavuvi Wilayani Kilombero kujiepusha na matumizi ya zana haramu kama vile nyavu za nailoni na makokolo kwani ni hatari kwa maendeleo ya uvuvi.

Ulega aliyasema hayo wakati akiongea na Wavuvi wa Kivukoni, Ifakara alipofanya ziara Wilayani Kilombero, Mkoa wa Morogoro

Amesema matumizi ya zana haramu yamekuwa ni chanzo cha uharibifu wa mazalia ya samaki na kupelekea rasilimali hiyo kupungua na kama matumizi hayo yakiendelea yatapelekea athari kubwa kwa sekta ya uvuvi nchini
 
Back
Top Bottom