Burure
Member
- Jul 25, 2024
- 42
- 96
Hivi ni kweli wazee wetu wa kale walishindwa kuweka misingi imara kuanzia ngazi ya familia Hadi kitaifa..
Kwanini kwenye Jamii zetu nyingi za kiafrika kila mtoto anayezaliwa ndiye anatakiwa kupambania ili ukoo ujikomboe na Umaskini?
Waliotutangulia waliwahi kuja hapa kutuzaa ili watutegemee kweli?
Kama Taifa inabidi tuondokane na UBINAFSI tujenge misingi imara ya kiuchumi ambayo itawasaidia vizazi vyetu vijavyo mfano biashara ya familia ambayo itaendelea kuishi vizazi na vizazi..
Mbona wenzetu wanaweza kuanzia Waarabu na hata wahindi wanajitoa sana kwa familia zao wanalinda Mila na desturi zao kwa wivu mkubwa hata uchumi wao kutoka ngazi ya familia unapanda siku hadi siku...
Tubadilike Afrika
Tubadilike Tanzania