Wazee wa 'kataa ndoa', nielewesheni jambo hili kabla sijajiunga nanyi

mana sex ni hitaji la muhim ila ili isiwe dhambi ni bora ukafanya tendo la ndoa katika ndoa kuliko kuzini(kama unataka kutengeneza mahusiano yako na Mungu mana dhambi inakutenga na Mungu)
Tendo la ndoa ni muhimu kwenye ndoa ila sio sababu pekee,sababu nyingine haikumpendeza Mungu mwanaume aliyemuumba aishi peke yake akamfanyia na msaidizi wa KUFANANA NAYE akamfanyia mwanamke ambaye Adamu alimuona kuwa ni SAHIHI kwake akamuita nyama katika nyama yake mfupa katika mfupa wake.
Ukipata mwenza sahihi kutoka kwa Mungu ndiye anauwezo wa kukupatia mke sahihi kwako,mke sahihi kwa mwingine anaweza asiwe sahihi kwako.
Kupata watoto na mengineyo hayo ni matunda baraka na neema za Mungu.
KWELI KUNA WAPO WANAOPATA WENZA WASIO SAHIHI hawa ndio wanaochukia ndoa kwa sababu ya uzoefu mbaya waliopitia katika mahusiano yao.Lakini mahusiano yako siyo ya mwingine ndoa zetu hazifanani,uzoefu wako hauwezi kutumika kushauri ama kuamua ndoa za wengine wote.ILA ukimuomba Mungu wenza wema na sahihi wapo,
Kama mimi Mungu amenipa mke mwema na sahihi na ndoa yenye amani furahabna upendo,na umoja nafurahia ndoa yangu.Naamini hata wengine Mungu anaweza kuwapatia wenza sahihi kwao wa kufanana na kuendana nao.Tuwaombee wenza wetu kama ni sahihi na ndio Mungu aliotuchagulia basi Mungu atawabadilisha na sisi pia tusiwe chanzo cha kuwakosea wenza wetu tuwapende wake zetu kama Kristo alivyolipenda kanisa na kuombea nfoa zetu na familia zetu.Mungu atusaidie.
 
dume la mbeguu jmn liko vizuriii
FB_IMG_1730796347434.jpg
 
Hata yule wa Guinea alikuwa na ndoa na alikula wake za watu.
Kataa ndoa.
 
Agano la ndoa haliruhusu wanandoa kuwa wazinzi/kuchhepuka.Uzinzi/kuchepuka ni kuvunja agano la ndoa.Uzinzi wa mwanandoa sio lengo au kusudi la ndoa.Kwasababu baadhi ya ndoa zina changamoto sio sababu ya KATAA NDOA ndoa zao sio ndoa yako.Kwasababu vyombo vya usafiri /magari vinapata ajali barabarani sio sababu ya abiria kutokusafiri au watu kutotumia vyombo vya usafiri/magari.
Kwa sababu kuna baadhi ya watoto wanafunzi wanafeli shule siyo sababu ya kutokupeleka mtoto wako shule.
 
Kataa kufeli shule,kataaa ajali lakini pia kataa ndoa.
 
Wazee wakataandoa,natakanijiunge na nyie endapo nikieleweshwa hili,
Mtazamo wenu ukoje, kwamba mnaishi na mwanamke na kumzalisha lakini hamfungi ndoa kwa maana ya kusign makaratasi kama pingu za maisha, au mnaamua kuishi bila mwanamke kabisa? na je? kama ni hivo manaake hamtokua na familia kabisa, nielewesheni hapo tu,
Zalisha mwanamke mwenye uwezo wa kujitegemea, tunza mtoto wako na mzazi mwenzako ikibidi, ila kamwe usithubutu kuishi nae nyumba moja au kufunga nae ndoa. Huo ndo msimamo na mwongozo wa katiba yetu
 
Back
Top Bottom