Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,453
- 20,586
Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho '
The Manipulated Man
by Esther Vilar (1971)'
Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi anasema mwanaume anazaliwa na kufundishwa au kufunzwa kuwa mtumwa wa mwanamke maisha yake yote.
Yeyote anaye jaribu kuelezea jinsi mwanaume anavyo tumiwa Kama mtumwa na mwanamke anapata upinzani mkubwa.
Anaelezea zaidi chombo chochote Cha habari au gazeti likijaribu kuweka makala kuelezea mateso hayo ya wanaume linapata upinzani na kukosa fursa ya kutangaza au kufanya biashara sababu wanawake ndiyo sehemu kubwa ya masoko ya biashara mbalimbali.
Sijui Kama ipo sahihi kisheria naambatanisha kitabu husika.
Mods mnaweza kufuta Kama Kuna mgogoro wa hati miliki (copy right)