Wazee wa Horror Movies: Trauma 2017

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
25,496
72,860
Nisiwe msemaji sana. Kama wewe mdau wa Horror, hii gem nimeiotea leo inaitwa Trauma ya 2017.

images (6).jpeg

Mademu wanne walienda vacation weekend porini kwenye nyumba flani. Kula sana bata.

Bwana si wakavamiwa na mtu na baba ake, wakiwa na siraha. Wakarape, piga brutally, hadi wanakula nyama zao wakiwa hai. Oya hii hapana. Naipa 7/10.

Jaribu aisee.
 
Hah eti siku hizi watu wanasema IT inatisha,hawapo serious.. crown anakutishaje
Hapo sasa, eti movie ya kutisha unaangalia usiku na wala uhisi lolote.
Kipindi hiko unaangalia movie, halafu ikifika muda wa kulala unawaza.
 
Nightmare in Helm street na Drag me to hell,huwa naangalia sizimalizi kigiza kinaingia,uoga unanishika
Sijui ndiyo sijielewi ila hiyo kwenye bold siku naiangalia niliiona kama Shumileta tu.

”Drag me to hell” ile part I ndiyo kali sana part II walichemka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom