Watanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is telled to teach us masematikis tumolo" sasa huwa nashaangaa na mzazi anavimba kichwa kuwa anasomesha english medium,, huu ni upopoma