Wanabodi uhai Ndio kila kitu kwa kila raia wa Tanzania.
Waandishi wa habari niwaombe mwende ktk kijiji cha LUNALA huko magu muitangaze njaa bila uoga.
Kuna watu wawili wamekufa. Ni wazee. Wamezikwa. Wamekufa kwa njaa. Walikuwa wanaishi peke yao.
Namba ya simu ya mtu wa kuwaongoza mkifika kijijini hapo nitawapa, sio vizuri kuiweka hapa mwenye nia anifuate pm.
Rais anataka kuwaongoza wafu?
Wawili wachache hivyo,polisi wamekufa nane acha tudeal na mambo ya msingiWanabodi uhai Ndio kila kitu kwa kila raia wa Tanzania.
Waandishi wa habari niwaombe mwende ktk kijiji cha LUNALA huko magu muitangaze njaa bila uoga.
Kuna watu wawili wamekufa. Ni wazee. Wamezikwa. Wamekufa kwa njaa. Walikuwa wanaishi peke yao.
Namba ya simu ya mtu wa kuwaongoza mkifika kijijini hapo nitawapa, sio vizuri kuiweka hapa mwenye nia anifuate pm.
Rais anataka kuwaongoza wafu?
Umetokea wapi na habari za vifo na kumuhusisha RAIS? kila kitu ni Rais tu..hata mvua zimegoma ni Rais tu,kweni mnadhani Rais huja bila MUNGU kujua?mpaka mumhusishe na kila baya?..Wanabodi uhai Ndio kila kitu kwa kila raia wa Tanzania.
Waandishi wa habari niwaombe mwende ktk kijiji cha LUNALA huko magu muitangaze njaa bila uoga.
Kuna watu wawili wamekufa. Ni wazee. Wamezikwa. Wamekufa kwa njaa. Walikuwa wanaishi peke yao.
Namba ya simu ya mtu wa kuwaongoza mkifika kijijini hapo nitawapa, sio vizuri kuiweka hapa mwenye nia anifuate pm.
Rais anataka kuwaongoza wafu?
Mkuu hiki kijiji bado kiko Magu kweli? Au hauna taarifa kwamba wilaya ya Magu iligawanywa wilaya 2 ikazaliwa wilaya ya Busega? Sahihisha mkuu hapo kuna shida!!kijiji cha LUNALA huko magu
Ni baba wa familia. Apeleke chakula cha msaada cha kuuza kwa bei nafuu majukumu yote ni yakeUmetokea wapi na habari za vifo na kumuhusisha RAIS? kila kitu ni Rais tu..hata mvua zimegoma ni Rais tu,kweni mnadhani Rais huja bila MUNGU kujua?mpaka mumhusishe na kila baya?..
Ha ha ha haaa.. Mkuu Majestic wolf toa hiyo "AL-HAJ" tu coz hajafanya hijilat, mengine yote muachie.Mtukufu supreme leader commander of the national forces His Excellency, President for Life, Field
Marshal Al Hadji Doctor , VC,
DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth
and Fishes of the Seas and Conqueror of the
British Empire in Africa in General and Tanzania
in Particular atasema '"SERIKALI HAIJALETA NJAA'"
Huyu mtu ni exceptional subiri nimpe UASKOFUHa ha ha haaa.. Mkuu Majestic wolf toa hiyo "AL-HAJ" tu coz hajafanya hijilat, mengine yote muachie.
Baba askofu Gwajima amepanga kuwaletea japo gunia moja la msaada wa mahindi kutoka kwenye pesa ya sadaka ya jumapili moja ili KUACHANA NA DHANA KWAMBA MAKANISA YA WALOKOLE HAYATOI MISAADA YA KIJAMII na badala yake WACHUNGAJI WANATANUA NA MAGARI YA KIFAHARI Huku waumioi wao wakifa njaa na kushindwa kulipa hata KODI YA NYUMBA YA TSH 3,000 TANDALE KWA MTOGOLEWanabodi uhai Ndio kila kitu kwa kila raia wa Tanzania.