Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 349
- 484
Heri ya mwaka mpya .
Leo katika pita pita zangu mitandaoni nilikuwa naangalia mambo ya uvuvi swali langu Kwa wavuvi kwanini wazungu akishika wavu akarusha kwenye mto,ziwa ,bahari huya anatoka wavu ukiwa na samaki kama mchanga
Lakini wavuvi wa kibongo anaweza kutupa wavu akitoka ni samaki hata kumi hawafiki shida Huwa nini na wavu ni ule ule au nikusema sisi tumevua mbaka wameisha??