Wavaa vitenge mmeshamazaliza kucheza na wacheza Amapiano sasa hatutaki visingizio kuwa mlikuwa na uchovu wa preseason siku ya mechi ya ngao ya hisani

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Jan 26, 2019
3,059
6,174
Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.

UBAYA UBWELA
 
Hiki kizungu kinasemaje?
Screenshot_20240728-185026.jpg
 
Weka hapa kikosi cha kwanza halisi cha Kaizer Chiefs. Pengine mashabiki wa bongo wa Kaizer Chiefs wanaijua Kaizer Chiefs kuliko wenye Kaizer Chiefs yao kule Africa Kusini
Tunataka Hao Ubwaya Ubwela FC waandae kosi lao la kwanza hatutaki visingizio hii imeshapita kituo kinachofuata ni kumkanda huyo Ubwaya Ubwela FC 5+ narudia atagongwa 5+
 
Back
Top Bottom