Wauzaji na wafungaji wa AC kwa gharama nafuu

Mjuzi Wenu

Senior Member
Nov 18, 2017
108
108
Habari, kutokana na uwepo wa joto katika mazingira yetu ya nyumbani na maofisini

kampuni ya OKEMI technical services imekuletea OFA KUBWA yaani punguzo la bei kwa 30% za AC na kufunga AC kwa gharama nafuu zaidi kutoka kwa mafundi wetu wenye uzoe wa miaka nane ya kutoa huduma za kufunga na mainteinace kwa AC za haina zote

Tupigie kupitia simu namba 0692235221
huduma ya delivery ni bure na kwa wale wa mikoani tunatuma kwa gharam nafuu

KARIBU
 
Weka bei ili kupunguza usumbufu,yaani biashara za hivi Mimi huona ni za kibabaishaji,ungeweka bei ili wale wasiopenda kupiga piga simu wajitathimin
Brand za AC zipo aina nyingi, pia AC zinategemea na ukubwa wa eneo unalo hitaji kufunga hivyo mteja anaweza akasema anataka brand ipi then tunamuolodheshea kuanzia AC ndogo adi kubwa katika iyo brand na bei zake

pia tutamshauli kulingana na ukubwa wa eneo lake afunge ipi ili iwe na ufanisi kwa kiwango cha juu
 
Hapo kila mtu anapigwa bei yake kutona na ulivyo ingia ingiaje. Tatizo lenu linaweza kua sawa.
 
Back
Top Bottom