B benjaminmathayo Member Dec 23, 2016 19 7 Jan 17, 2017 #1 wakuu nimekuja kwenu natafuta geti kama kwaajili ya flemu za duka pia ambaye anauza nivizuri angetoa na bei yake flemu zenyewe zina upana wa futi sita na urefu wa futi Tisa.
wakuu nimekuja kwenu natafuta geti kama kwaajili ya flemu za duka pia ambaye anauza nivizuri angetoa na bei yake flemu zenyewe zina upana wa futi sita na urefu wa futi Tisa.
Samwel Ngulinzira JF-Expert Member Aug 5, 2017 1,829 1,970 Jun 15, 2019 #2 Sijui kama huyu mtu alipata majibu...