Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,515
- 4,012
Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo.
Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji hao, huku akigusia pia tetesi za Yanga kumuwinda kiungo wao, Offen Chikola akisema kuwa "Yanga hawana pesa za kumsajili mchezaji hyo"
Huyu hapa Mwagala akifafanua