kwetugt
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 273
- 233
Waungwana najua shida kill mmoja wetu humpata nakuamua kuuza kilicho chake hatakama anakipenda kiasi gani ili kimsaidie hivyo na mimi msaada wa kutatua tatizo langu nimeamua kuuza simu yangu pendwa kwa bei ya kutupa mwenyekuhitaji anitafute tuyajenge simu ni nzuri haina itirafu yoyote hata kidogo ningeweka picha lakini sina simu ya kuchukulia picha lakini mwenyekutaka tutawasiliana nimtumie picha, mie nipo geita