Waume za watu mnawataka ila uke wenza hamuutaki, nimeshindwa kuwaelewa

Alafu wanajua sana kupoteza muda na rasilimali fedha za watu walioserious na maisha dawa ni kuwakatia tu stima!
 
hahahaaaa bubble shooters au karata za solitaire pumbav sana akili fupi miili nhihaa!dawa ni kukatisha huduma tu abaki na ukame alafu.Ni wasaidizi wa shetani wamebaki kuombea mabaya wenzao sasa wewe hutaki kuolewa huduma unataka alafu ukiachwa unaita dua mbaya kwa wenzao.Mungu atakulipa kwa kadri ya kipimo unachopimia wenzako swinee!
 
Thubutu atakutweza huyo danadana kibao mpaka usande mwenyewe
 
ila mkuu itakukost maana wasije wenye mali wakakupigia kwq tigo ya 0713
Heee mkuu hata
Mwiz akienda kuiba kwa nyumba
Ya mtu hua anaangalia na
Nyumba ynyw

Mfano hawez kwenda kuiba kwa
Jk kikwete
 
Heee mkuu hata
Mwiz akienda kuiba kwa nyumba
Ya mtu hua anaangalia na
Nyumba ynyw

Mfano hawez kwenda kuiba kwa
Jk kikwete
Hilo nalo neno ,
Ila weka na akiba mkuu,Kumtabiri mwanadamu ni sawa na kutabir kifo chako mwenyewe maana hakuna anayejua mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…