Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,078
Hakika Watumishi wa Umma miaka yote Waliaminishwa kuwa TUCTA ipo kwa ajili ya kuwasimamia kupata HAKI na STAHIKI zao SERIKALINI.TUCTA wamekuwa Wakichukua MICHANGO ya Watumishi wa UMMA lakini Haina Mchango wowote kwa Hao Watumishi zaidi ya Kutengeneza TSHIRT za MEI MOSI.
Ukitaka kujua TUCTA hii ina subiri Kila MEI MOSI wanakuja na HOTUBA NDEFU ya Kuomba Serikali IONGEZE Mishahara tena inataja KIWANGO KIKUBWA huku ikijua HAITAWEZEKANA ili WATUMISHI wa UMMA waamini kuwa INAWAPIGANIA.
Miaka 6 ya UTAWALA wa MAGUFULI TUCTA imekuwa inafanya hivyo kila MEI MOSI na mpaka leo AWAMU ya RAIS SAMIA mambo ni yale yale binafsi sasa NAAMINI Kuwa TUCTA ipo kwa ajili ya kukusanya MICHANGO yenu na KUITETEA SERIKALI.
Kwani pamoja na SERIKALI kutowapa STAHIKI zao WATUMISHI wa UMMA bado TUCTA ipo KIMYA haijawahi KUICHUKULIA HATUA ZOZOTE SERIKALI bali inasubiri MEI MOSI ije na HOTUBA NDEFU isiyo na TIJA kwa WATUMISHI.
USHAURI kwa WATUMISHI wa UMMA ni wakati wenu wakuamua KUJITOA TUCTA na kuamua KUJIPIGANIA wenyewe HAKI ZENU Hii TUCTA ipo kwa ajili ya kuitetea SERIKALI Sio WATUMISHI