Kwa mujibu wa taarifa zimezopatikana hivi punde watumishi tisa wa manispaa ya kigoma ujiji wamesimamishwa kaz kwa matumiz mabaya ya ofisi.
zitto ajaenda kuwasaidia?Kwa mujibu wa taarifa zimezopatikana hivi punde watumishi tisa wa manispaa ya kigoma ujiji wamesimamishwa kaz kwa matumiz mabaya ya ofisi.
Wezi na mababaishaji ndio watakaohofia kuajiriwa, Kuna wengi wachapakazi na uwezo wangependa kupata hizo ajira za serikali ili kuwatumikia wananchi.mwisho serikali itakosa watumishi, wataisha na wengine watahofia kuajiriwa
kwa hali ambayo nchi ilifikia wakati wa JK. HATUA hizo haziepukiki...hebu fikiria wale maofisa misitu wa mikoa hawakuwahi kupeleka fedha serikalini kwa muda mrefu...unafikiria nini?
Huna uhakika na unachokiandika ndio maana wakoseakoseaKumbuka kuwa wakati wa Jakya Kikwete ndiyo imewekwa mikakati mizuri sana ya kuzuwia ubadhirifu Serikalini, alileta CAG, TAKUKURU na amewafunga wegu sana huko mawilayani, labda ulikuwa haujui tu, kawafunga mpaka mawazirifu wabadhirifu, jisomee: ORODHA YA WALIOWAHI KUHUKUMIWA KWA MAKOSA YA RUSHWA
Nnaona una chuki binafsi na Jakaya Kikwete lakini kwa utendaji uliotukuka mpaka sasa Jakaya anaongoza.
kwa hali ambayo nchi ilifikia wakati wa JK. HATUA hizo haziepukiki...hebu fikiria wale maofisa misitu wa mikoa hawakuwahi kupeleka fedha serikalini kwa muda mrefu...unafikiria nini?