A
Anonymous
Guest
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mh. Rais Samia kwa kuwajali kwa dhati ya moyo watumishi wote wa umma.
Sio siri kwa sasa watumishi wamekuwa wakitimiziwa haki zao za msingi kwa wakati kabisa bila kigugumizi.
Tumeshuhudia mara tu alipoingia madarakani aliwapandisha madaraja watumishi waliokuwa wamekwama muda mrefu.
Pamoja na nia hiyo njema ya kiongozi wetu, watumishi wa kada ya ununuzi na ugavi wamewekewa vizingiti visivyo vya msingi na hivyo kuwanyima haki zao za kupanda madaraja kama kada zingingine ambazo vigezo vya kuingia kazini vinafanana.
Vikwazo hivyo vimewekwa kwa kuzingatia maslahi ya upande mmoja bila kujali hali na ustawi wa watumishi walio kwenye kada hii.
Inakatisha sana tamaa pale ambapo watu mliongia kazini pamoja kwa qualifikation sawa wanapandishwa madaraja angali wengine wanabaki kuwa watazamaji tu kwa vigezo ambavyo sio vya haki.
Kigezo kwamba ili upande daraja moja kwanda lingine lazima usome CPSP ni kigezo cha kibaguzi kwani haki apply kwa kada nyingine mfano wahasibu ambapo sio lazima mtu awe na cpa ili apande daraja bali ukiwa na cpa unaitwa mhasibu na ukiwa huna unakua afisa hesabu na hivyo kila mtu anapanda daraja kwa nafasi yake hadi pale mtu mwenyewe atakapoamua kusoma ili awe mhasibu kamili.
Kwa upanda wa wagavi na wanunuzi hali ni tofauti kama hutapata uwezo wa kujiendeleza au mwajiri kukulipia ada ina maana wewe unakwama kwenye cheo kimoja milele. Mfano mzuri ni mda huu ambao serikali inawapandisha watumishi zaidi ya laki mbili.
Tunamuomba sana Rais Samia aweze kuliangalia hili maana sio haki maana watumishi hata kada za chini kabisa wamepandishwa ila wenye digrii wanaachwa kwa kigezo kwamba hawana elimu ya kutosha.
Ieleweke kwamba sipingani na uwepo wa Cpsp bali uwepo wake usimuadhiri mtumishi ambaya hajaipata bado bali uwe faida zaidi kwa mtumishi ampaye atasoma, kama ilivyo kwenye kada zingine.