Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,538
- 2,742
Wakuu iko hivi, natumia redmi 8a grobal ROM ila naona wakuu data consumption imekua extra ordinary, yani najaribu kutumia app kama netguard lakini still vile vile kusurf tu JF saa 1 inatembea MB 100, ni android 10 miui 11 mpaka napanga kudowngrde, Play store nimestop auto-update lakini kila siku inazidi ku update kina Map na wenzake, mkuu hili ni janga msaada wenu please.
Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa