Watumiaji wa Xiaomi Redmi na yeyote anayetumia smartphone msaada wenu wakuu yamenifika

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Nov 4, 2020
1,527
2,730
Wakuu habari ya nyie, hopefully mko poa, Leo nimepata shida kidogo kwenye kimeo changu cha redmi 8a, kimeingiliwa maji kidogo, sasa msala ni kwamba, upo kwenye mic na spika.

Mtu akipiga ina ita kama kawaida (inatia sauti vizuri) ila nkipokea sim sikii kabisa, mpaka niweke loudspeaker hapo tunaongea bila shida,
Nikijaribu kurekodi sauti, haikubali yaani hai detect chochote. Nkimpigia mtu bila kuweka loudspeaker sisikii chochote.

Baada ya hapo sasa wakuu nahitaji msaada nini nifanye, kama nikufanya replacement ya hivyo vifaa yako wapi hapa dar naweza pata, ili kama kuna mtu ashawai kununua hivi vifaa hapa dar, anipe mwongozo, na pia je kuna njia yoyote naweza fanya kusaidia pasina kubadili hivyo vifaa?

Msaada wenu wakuu.
 
SASA mbona ushachelewa ulieka Juani au dry Ile yamkono yakukaushia nywele Hebu piga upepo Hapo la mvuke Kwa mbali km lisaa hivi alafu jaribu kupiga Simu uone km tatizo lipo mara nyingi huwa nafanya Hivyo na huleta matokeo mazuri haswa device inapoingia maji
 
Peleka kwa fundi
Na ufundi wa simu ni ku replace parts zenye shida
 
SASA mbona ushachelewa ulieka Juani au dry Ile yamkono yakukaushia nywele Hebu piga upepo Hapo la mvuke Kwa mbali km lisaa hivi alafu jaribu kupiga Simu uone km tatizo lipo mara nyingi huwa nafanya Hivyo na huleta matokeo mazuri haswa device inapoingia maji
Shukrani sana mkuu baada ya kuiweka ndani ya mchele kwa muda mrefu niliamka asubui iko njema, shukrani sana k a ushauri mzuri pia.
 
Back
Top Bottom