Upo general sana Mkuu ila mambo muhimu ya haraka haraka kww uzoefu wangu ni:
- Andaa miradi yako
- Uwe na strategic planning
- Tumia social medias/internet
- Tumia watu professional walio dedicated
- Anza na eneo dogo
Baada ya miezi mitatu fanya evaluation
Rudia huo mtirirko tena baada ya mwaka ongeza ukubwa wa eneo kijiografia la mradi.
Yapo mengi Mkuu hata nfani ya ivyo vichache hapo juu.